Starlink ya Mwendo Ardhini inakupa chaguo kati ya mipango yetu ya huduma ya Kipaumbele cha Eneo na Kipaumbele cha Kimataifa kwa wateja walio na mahitaji makubwa ya muunganisho wa mwendoni. Huduma hii ni bora kwa matumizi ya biashara za kuhamahama na sekta ya umma, ikiwa ni pamoja na huduma za kukabiliana na dharura, malori, mabasi, magari ya huduma za usafiri, kliniki za afya za kuhamahama na utangazaji wa habari.
Huwezi kupata kile unachokitafuta? Wasiliana na Kituo cha Usaidizi.