Tayari umenunua Starlink kutoka kwa muuzaji rejareja? Iamilishe sasa kwenye www.starlink.com/activate.
Starlink inaweza kununuliwa moja kwa moja kwenye tovuti yetu, Starlink.com, au kutoka kwa muuzaji rejareja aliyeidhinishwa wa Starlink. Wauzaji rejareja walioidhinishwa wameidhinishwa kuuza bidhaa za Starlink katika maeneo ambapo Starlink imepewa leseni na kuidhinishwa.
Wauzaji rejareja hawa hununua zana na vifaa kutoka Starlink na kuviuza moja kwa moja kwa watumiaji wa mwisho, ama mtandaoni au katika maduka halisi. Mara baada ya zana na vifaa hivyo kuamilishwa kwenye www.starlink.com/activate, Starlink inasimamia huduma, akaunti, maagizo na usaidizi moja kwa moja kwa mtumiaji wa mwisho. Ikiwa unataka kuchukua seti mbadala nchini Marekani, fuata hatua hizi hapa.
Taarifa muhimu: Ikiwa unanunua kupitia muuzaji rejareja aliyeidhinishwa, tafadhali hakikisha unanunua kupitia duka rasmi la Starlink la muuzaji rejareja. Starlink haiwajibiki kwa ununuzi wowote unaofanywa nje ya duka rasmi la Starlink la wauzaji rejareja walioidhinishwa.
Botswana
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Ghana
Kenya
Lesoto
Madagaska
Malawi
Msumbiji
Nijeri
Naijeria
Rwanda
Siera Leoni
Zambia
Zimbabwe
Bangladeshi
Indonesia
Japani
Malesia
Mongolia
Ufilipino
Sirilanka
Albania
Austria
Ubelgiji
Bulgaria
Korasia
Ucheki
Denmaki
Ufini
Ufaransa
Ujerumani
Ugiriki
Greenland
Hungaria
Aisilandi
Ayalandi
Italia
Masedonia Kaskazini
Uholanzi
Nodiki
Norwe
Polandi
Ureno
Romania
Slovakia
Slovenia
Uhispania
Uswidi*
Uswisi*
Uingereza
Ajentina
Brazili
Chile
Kolombia
Kostarika
Ekwado
Elsavado
Guatemala
Honduras
Panama
Paraguay
Peru
Urugwai
Kumbuka: Ikiwa unanunua kutoka kwa muuzaji rejareja Walmart, tafadhali hakikisha unanunua kupitia Duka la Starlink kwenye Walmart. Starlink haiwajibikii ununuzi wowote unaofanywa nje ya Duka la Starlink kwenye Walmart.
Kanada
Meksiko
Marekani
Australia
Fiji
Nyuzilandi
Samoa
Vanuatu
Hatuwezi kuamilisha huduma kwa Starlink ambayo imenunuliwa kutoka kwa muuzaji rejareja asiyeidhinishwa. Kununua Starlink kupitia kampuni ya mhusika mwingine, ambayo haijaorodheshwa kama muuzaji au muuzaji rejareja aliyeidhinishwa, ni ukiukaji wa sheria na masharti yetu na kutasababisha kusimamishwa kwa huduma mara moja.
Pata taarifa za barua pepe za Starlink hapa.
Mada Zinazopendekezwa:
Huwezi kupata kile unachokitafuta? Wasiliana na Kituo cha Usaidizi.