Nembo ya Starlink

Nitarejeshewa lini fedha zangu?


  • Ukighairi amana, fedha zinazorejeshwa zinachakatwa mara moja. Hata hivyo, inaweza kuchukua hadi siku 10 ndani ya Marekani na Kanada au siku 20 nje ya maeneo haya ili fedha zinazorejeshwa zionekane kwenye akaunti yako ya taasisi ya kifedha.

  • Baada ya kurudisha Seti yako ya Starlink au kifuasi ndani ya kipindi cha kurudisha, tutachakata fedha zinazorejeshwa baada ya kupokea na kukagua kwenye kituo chetu.

Mada Zinazohusiana:


Huwezi kupata kile unachokitafuta? Wasiliana na Kituo cha Usaidizi.