Zana na Vifaa vya Starlink vinajumuisha Kifaa kimoja cha Ndegeni (Antena), Kigawi kimoja cha Umeme (PSU), Vifaa viwili vya Ufikiaji Pasiwaya (WAPs) na kebo.
Wasiliana nasi na tunaweza kukuunganisha na Muuzaji wa Starlink Aliyeidhinishwa, ambaye atakuuzia Zana na Vifaa vya Starlink na kupanga ufungaji wako. Muundo sahili wa Starlink huwezesha ufungaji katika kipindi kifupi (siku 10-14) na kuoana vizuri na ukaguzi mwingine wa matengenezo wa mara kwa mara.
Maswali yanayohusiana:
Starlink Angani inatumika katika aina gani za ndege?
Huwezi kupata kile unachokitafuta? Wasiliana na Kituo cha Usaidizi.