Mpango wa Kipaumbele cha Eneo:
Kipaumbele, huduma ya kasi ya juu kwa biashara na watumiaji wengine wenye mahitaji makubwa kwa matumizi ya mwendoni ndani ya nchi moja. Mipango yote inajumuisha msaada uliopewa kipaumbele, IP ya umma na dashibodi ya telemeta. Baada ya kutumia kiasi kilichowekwa cha Data ya Kipaumbele (mfano, TB1), endelea kupokea Data ya Msingi isiyo na kikomo.
Mpango wa Kipaumbele cha Kimataifa:
Kipaumbele, huduma ya kasi ya juu kwa biashara na watumiaji wengine wenye mahitaji makubwa kwa matumizi ya mwendoni mahali popote ambapo Starlink inapatikana. Mipango yote inajumuisha msaada uliopewa kipaumbele, IP ya umma na dashibodi ya telemeta. Baada ya kutumia kiasi kilichowekwa cha Data ya Kipaumbele cha Kimataifa (mfano, TB 1), endelea kupokea Data ya Msingi isiyo na kikomo. Bofya hapa ili upate maelezo zaidi kuhusu Data ya Msingi.
Mipango ya kipaumbele inakupa uwezo wa kubadilika kulingana na mahitaji yako ya data. Chagua kutoka kwenye moja ya mipango yetu iliyowekwa mapema, na uirekebishe kulingana na mahitaji yako kwa kuongeza vifurushi vya data katika nyongeza za GB50 au GB500.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara ya Mipango ya Huduma ya Kipaumbele:
Je, bei za mipango mipya zitatofautiana kimataifa?
Je, mpango wangu wa sasa utajumuishwa?
Je, ninaweza kununua Ughaibuni Bila Kikomo badala ya mipango ya Kipaumbele cha Eneo na Kimataifa?
Je, ninaweza kuweka laini ya huduma yenye ada ya ufikiaji wa kifaa pekee ikiwa sitarajii matumizi mengi ya data?
Je, laini za huduma zinaingia kama chaguo-msingi kwenye data ya Kipaumbele ya ziada wakati data ya Kipaumbele ya kujirudia imekwisha?
Je, kujiandikisha kwenye Data ya Kipaumbele ya ziada hufanyaje kazi?
Unaweza kujiandikisha kwenye vijalizo vya kiotomatiki. Kwa mfano, ikiwa una GB500 ya data inayojirudia na umejiandikisha kwenye data ya Kipaumbele ya ziada, unapozidisha GB500, kifurushi cha GB50 kitaongezwa kiotomatiki kwenye laini yako ya huduma.
Unaweza pia kununua vifurushi mojamoja vya ziada katika nyongeza za GB50. Ikiwa una GB500 ya data inayojirudia na umalize data yako, basi unaweza kununua kifurushi cha ziada cha GB50 cha Data ya Kipaumbele cha kutumia kwa kipindi kilichobaki cha kipindi chako cha bili.
Je, vifurushi vya kijalizo cha kiotomatiki vinajirudia kila mwezi?
Je, vifurushi vya kijalizo vinasogezwa mbele kwenye kipindi kinachofuata?
Je, ninaweza kujiondoa kwenye data ya Kipaumbele ya ziada?
Je, vifaa vingi vinaweza kuwa kwenye laini moja ya huduma?
Je, mipango ya Kipaumbele cha Eneo itaweza kufanya kazi katika maji ya nchi?
Je, mipango ya Kipaumbele itaendeshwa katika kasi ya juu zaidi kiasi gani?
Nikitumia API, nitapata lini maelezo kuhusu mabadiliko ya API?
Huwezi kupata kile unachokitafuta? Wasiliana na Kituo cha Usaidizi.