Ili kuangalia bei katika eneo lako, nenda kwenye Starlink.com, weka anwani yako kisha ubofye "Agiza Sasa" ili kuhakiki mchanganuo wa bei katika eneo lako kwa ajili ya gharama ya Seti ya Starlink na bei ya huduma ya kila mwezi.
Ikiwa kuna ofa ya punguzo la zana na vifaa katika eneo lako kwa muda mfupi, unaweza kuthibitisha kwa kufuata hatua zilizo hapa chini.
Pata taarifa za barua pepe za Starlink hapa.
Mada Zinazopendekezwa:
Huwezi kupata kile unachokitafuta? Wasiliana na Kituo cha Usaidizi.